TAARIFA YA MSIBA
Habari za leo wanamfuko.
Tunasikitika kuwapa taarifa kuwa wanamfuko wenzetu
Cecylia Njau amefiwa na baba yake mzazi Hipolity Njau.
Mzee Njau alifariki February 6, 2023 nyumbani kwao Moshi.
Cecylia hakusafiri.
Kwa salaam za pole na ujumbe wa faraja wasiliana na mfiwa
Cecylia Njau
614 424 0840
Tanzania Columbus Community Association
Connect with Us
TCCA ©